Tuesday 21st, January 2025
@Kongwa Mjini, na barabara ya Ugogoni-Kibaigwa
Kamati ya Siasa ya CCM Mkoa wa Dodoma tarehe 21 januari, 2019 itatembelea Wilayani Kongwa ambapo itafanya ukaguzi katika miradi miwili.
Mradi wa kwanza utakuwa Mradi wa kuongeza uwezo wa usambazaji maji katika mji wa Kongwa, na wa pili ni Mradi wa Ukarabati wa Barabara kwa kuchonga barabara kumwagachangarawe na kuchimba mifereji , kujenga makalavati na daraja mfuto na gabions katika barabara ya Ugogoni-Kibaigwa.
Ratiba ya Kamati ya Siasa Mkoa.pdf
Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Wilaya
Anuani ya Posta: S.L.P 57 Kongwa, Dodoma
Simu ya Mezani: +255 26 2370031
Simu ya Mkononi: +255 713399349
Barua pepe : ded@kongwadc.go.tz
Copyright ©2022 Kongwa District Council . All rights reserved.