Imewekwa: April 17th, 2018
Spika wa Bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mbunge wa jimbo la Kongwa Joab Ndugai April 16/2018 ameongoza mamia ya wakaziwa Kongwa na Viongozi mbalimbali Katika Ibada ya kuaga Mwil...
Imewekwa: April 4th, 2018
Barabara ya NMB - Mlanga imeanza kujengwa kwa kiwango cha lami (double surface dressing) kuanzia NMB kuunganisha kipande cha barabara ya Kilimo-Kwa DAS yenye urefu wa Km 0.88.
Barabara hii in...
Imewekwa: March 21st, 2018
Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa imepata neema ya kuboresha taarifa za chanjo kwa watoto kupitia Programu ya Uendelezaji wa Chanjo na Kinga (IVD Program) inayotekelzwa na Wizara ya Afya ikishirikiana n...