Imewekwa: April 20th, 2025
Mwenge wa uhuru 2025 umezindua klabu ya wapinga Rushwa na kutembelea mradi wa matumizi ya nishati Safi ya kupikia wenye thamani ya shilingi 20,440,800 katika chuo cha mafunzo ya stadi Veta Kongwa.
...
Imewekwa: April 20th, 2025
Wilaya ya Kongwa imepokea mwenge wa Uhuru, mapokezi yaliyofanyika katika viwanja vya Amani Kibaigwa. Akizungumz wakati akikabidhi mwenge wa Uhuru, Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Mhe. Adam Malima ametoa shu...
Imewekwa: March 20th, 2025
Halmashauri kuu ya chama cha Mapinduzi CCM wilaya ya Kongwa imeahidi kuendelea kuwa sehemu ya jitihada zinazofanywa na Serikali ya awamu ya sita katika kuwezesha wananchi kujiletea maendeleo yao wenye...