Imewekwa: November 17th, 2024
Vikundi Wilayani Kongwa vimekabidhiwa hundi ya shilingi milioni mia tano na sitini na tano katika awamu ya kwanza ya ugawaji mikopo. Mikopo hiyo kwa vikundi vya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu ...
Imewekwa: November 16th, 2024
Kikao cha viongozi wa vyama vya siasa kimefanyika katika ofisi za msimamizi wa uchaguzi wa Wilaya ya Kongwa Ili kujadili ratiba za mikutano ya kampeni.
Kikao hicho muhimu kime...
Imewekwa: November 2nd, 2024
Wananchi wa Kata ya kibaigwa wameiomba Serikali kupanua barabara katika eneo la katikati ya mji ili kuchochea ufanisi katika ufanyaji wa biashara, kupata egesho zuri la magari hususani malori...