Imewekwa: February 5th, 2018
Halmashauri ya Wilaya Kongwa yatunukiwa cheti cha wateja bora kwa mwaka 2017 na Benki ya NMB Tawi la Kongwa. Cheti hicho kimekabidhiwa siku ya tarehe 5 Februari, 2018 katika Ofisi ya Mkurugenzi Mtenda...
Imewekwa: January 26th, 2018
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana na Ajira Mhe Antony Mavunde amezindua rasmi kampeni ya upandaji miti Wilayani Kongwa jana, Januari 25, 2018 katika maeneo ya chini ya safu ya milim...
Imewekwa: January 24th, 2018
Mkuu wa Wilaya ya Kongwa Mhe. Deogratius Ndejembi amezindua kampeni ya Kutokomeza Ndoa za Utotoni Wilayani Kongwa inayosimamiwa na Shirika la World Vision linalofanya kazi katika Tarafa ya Zoissa, Kat...