Imewekwa: October 10th, 2024
Shule ya Msingi Viganga imekabidhiwa magunia mawili ya mahindi kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa kwa ajili ya lishe. Idara ya Maendeleo ya Jamii ikiongozana na Mwenyekiti wa Halmashauri ...
Imewekwa: October 5th, 2024
Kuelekea katika zoezi la uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura, Halmashauri ya wilaya ya Kongwa imekuja na siku maalumu za wananchi kukutana katika viwanja mbalimbali vya michezo ili...
Imewekwa: October 4th, 2024
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi. Mhe. Mhandisi Hamad Yusuf Masauni, amezindua maabara ya kisasa ya masomo yote ya sayansi katika shule ya sekondari Laikala iliyopo katika Wilaya ya Kongwa Mk...