Imewekwa: October 12th, 2021
Na Stephen Jackson na Nkinde , Kongwa.
Halmashauri ya wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma inatekeleza mradi wa mazingira ili kuiwezesha kuhimili mabadiliko ya tabianchi.
Hayo yameelezwa na Mkurugenzi...
Imewekwa: October 7th, 2021
Jaji Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma, amezindua jengo la Mahakama ya Mwanzo katika Mamlaka ya Mji Mdogo wa Kibaigwa hii leo tarehe 07 Oktoba, 2021.
&nbs...
Imewekwa: September 7th, 2021
Mtendaji Makuu wa Mfuko wa Mawasiliano Kwa Wote (UCSAF), Bi. Justina Mashiba leo tarehe 7 Septemba, 2021 amefanya ziara Wilayani Kongwa. Katika ziara hii emeambatana na wawakilishi wa makampuni ya sim...