Imewekwa: March 13th, 2019
Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa inatarajia kutoa bure vyeti vya kuzaliwa kwa watoto wadogo walio chini ya miaka mitano (5) Wilaya nzima.
Zoezi hili linatarajiwa kuanza rasmi tarehe 15 Machi, 2019 a...
Imewekwa: January 31st, 2019
“Tatizo la viwavi jeshi vamizi kama halitoshughulikiwa haraka na kwa pamoja litaathiri mashamba ya watu wengi. Ninawaomba viongozi wa Kata na Wataalam kuitisha mikutano na kutualika maafisa kilimo ili...
Imewekwa: December 7th, 2018
Wananchin wa Wilaya ya Kongwa wanapaswa kuzingatia mambo ya msingi hususani matumizi ya vyoo bora ili kuepuka magonjwa ya kuambukiza na mlipuko kwa ajili ya kujenga Tanzania ya Viwanda pasipokuwa na a...