Imewekwa: April 25th, 2018
Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira ya Mji Mdogo wa Kongwa inatekeleza mradi mkubwa wa maji ambao utanufaisha wakazi waapatao 29,039 ambayo ni sawa 90% ya wakazi waliopo Kata za Kongwa, Ugogoni, na ...
Imewekwa: April 21st, 2018
Mfuko wa maendeleo ya jamii (TASAF III) kwa utekelezaji wa awamu ya kwanza unaondelea kufanyika nchini kote umeonyesha mafanikio makubwa katika juhudi za kunusuru kaya masikini. Mafanikio hayo yameone...
Imewekwa: April 17th, 2018
Spika wa Bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mbunge wa jimbo la Kongwa Joab Ndugai April 16/2018 ameongoza mamia ya wakaziwa Kongwa na Viongozi mbalimbali Katika Ibada ya kuaga Mwil...