Imewekwa: June 5th, 2018
Katibu Tawala Wilayani Kongwa Bw. Audiphace Mushi akimuwakilisha Mkuu wa Wilaya ya Kongwa, amepiga marufuku Utupaji wa Taka ovyo, kwa Wananchi na wageni wapitao Katika eneo la Hifadhi ya Ranchi ya Tai...
Imewekwa: May 31st, 2018
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe Suleiman Jafo amefanya ziara ya ghafla Wilayani Kongwa ambapo ametembelea Kituo cha Afya Mlali kukagua ujenzi unaoendelea wa Kituo...
Imewekwa: May 26th, 2018
Baada ya kukamilika kwa ufungaji wa miundombinu ya mtandao kiambo (LAN) na kusimikwa kwa mfumo wa Usimamizi wa Taarifa za Hospitali wa Serikali ya Tanzania (GoT-HoMIS), Hospitali ya Wilaya ya Kongwa i...