Imewekwa: September 2nd, 2022
Na Stephen Jackson, Kongwa.
Mkuu wa Wilaya ya Kongwa Mhe. Remidius Mwema Emmanuel amewataka wafanyakazi wa kampuni ya ujenzi ya GS Contractors kuzingatia tahadhali za Afya na usalama mahali pa kazi...
Imewekwa: September 2nd, 2022
Na Stephen Jackson, Kongwa.
Wananchi wilayani Kongwa wamehamasika na utolewaji wa chanjo ya Polio inayotolewa nchi nzima kupitia uzinduzi wa kampeni hiyo uliofanyika Agosti 2, 2022 ngazi ya W...
Imewekwa: September 2nd, 2022
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Sitaki Senyamule, amefanya ziara ya kwanza ya kikazi wilayani Kongwa tangu alipohamishiwa Mkoani Dodoma.
"Leo nimeanza ziara za kutembelea wananchi wa Wilaya za...