Imewekwa: July 26th, 2022
Shule ya Msingi Mnyakongo Wilayani Kongwa, Mkoani Dodoma imepata misaada ya kielimu kutoka Kwa wahisani wa nchi za Uingereza na Marekani.
Hayo yamebainishwa na Mkurugenzi Mtendaji (W) Dkt. Omary Nk...
Imewekwa: July 13th, 2022
Na Stephen Jackson, Kongwa.
Rais wa shirika la Afya la kimataifa la Korea (KOFIH) Prof. Chan Yup Kim ameipongeza wilaya ya Kongwa kwa hatua nzuri ya utekelezaji miradi.
Pongezi hizo zimetolewa n...
Imewekwa: July 9th, 2022
Na Stephen Jackson, Kongwa.
Mratibu wa Magonjwa yasiyo ya kuambukiza, Mkoa wa Dodoma, Dkt. Missana Yango amewataka wananchi kupuuza upotoshaji unaofanywa na watu mbalimbali Kuhusu chanjo ya UVIKO 1...