Imewekwa: September 20th, 2024
Halmashauri ya wilaya ya Kongwa Pamoja na Ofisi ya Mkuu wa wilaya imefanya kikao kazi na watendaji wa Kata na Vijiji ili kuongelea mambo mbalimbali huku ajenda kuu ikiwa ni mapato. Baadhi ya mambo yal...
Imewekwa: September 18th, 2024
Leo tarehe 18 Septemba 2024 imefanyika ziara ya mkuu wa mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule katika wilaya ya Kongwa ili kukagua miundombinu na miradi mbalimbali ya maendeleo. Mheshimiwa mkuu wa mko...
Imewekwa: September 22nd, 2024
Leo tarehe 22 Septemba semina maalumu kwa waandishi wasaidizi na waendeshaji wa vifaa vya bayometriki katika zoezi la uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura imefunguliwa na Mkurugenzi Mtendaji...