Imewekwa: March 12th, 2023
Na Stephen Jackson, Kongwa DC
Viongozi wa kisiasa wametakiwa kuwa mstari wa mbele katika kulinda na kutetea maslahi ya watumishi wa umma waliopo kwenye maeneo yao ili kuchochea kasi ya Maendeleo.
...
Imewekwa: February 17th, 2023
Na Stephen Jackson, Kongwa DC
Mkuu wa Wilaya ya Kongwa Mhe. Remidius Mwema Emmanuel amesema Serikali itawapatia Watendaji wote pikipiki ili waweze kufanikisha shughuli za Serikali katika Maeneo yao...
Imewekwa: February 14th, 2023
Na Stephen Jackson, Kongwa DC
Kununuliwa kwa vifaa vya kisasa vya Upimaji wa Ardhi Wilayani Kongwa kutapelekea mapinduzi makubwa ya utatuzi wa changamoto mbalimbali zilizokuwa zikiwakabili wananchi...