Imewekwa: January 28th, 2025
Wafanyakazi katika Wilaya ya Kongwa wameiomba ofisi ya utumishi kutembelea sekta zote za umma kuona idadi ya Watumishi waliopo ili kuondoa tatizo la watumishi katika Kila sekta.
Wafanyakazi hao...
Imewekwa: January 24th, 2025
Wananchi katika Kijiji Cha Chamae kilichopo Kata ya Hogoro wilayani Kongwa wameiomba Serikali kubomoa tenki la maji ambalo limechakaa sana linaloweza kuleta athari kwa jamii.
Wananchi hao wameeleza...
Imewekwa: January 22nd, 2025
Kufuatia mgogoro wa eneo la malisho ulipo baina ya wakulima na wafugaji wa vijiji vya Manyusi na Chitego vilivyopo Kata ya Chitego wilayani Kongwa Mkuu wa Wilaya ya Kongwa Mheshimiwa Mayeka Simon Maye...