Imewekwa: January 2nd, 2018
"Jumla ya ng'ombe wa asili 121,907 wa wananchi wamepigwa chapa ambayo ni sawa na asilimia 105.2% ya lengo". Haya ameeleza Dkt Omary Nkullo (Afisa Mifugo na Uvuvi Wilaya ya Kongwa) waka...
Imewekwa: December 20th, 2017
Wilaya ya Kongwa yafanya Mkutano wa Pamoja wa Baraza la Biashara la Wilaya na Baraza la Madiwani Wilayani Kongwa. Katika Mkutano huu Mkuu wa Wilaya ya Kongwa Mhe. Deogratius Ndejembi (Mwenyekiti ...
Imewekwa: December 19th, 2017
Mkuu wa Wilaya ya Kongwa Mhe. Deogratius Ndejembi azindua rasmi Programu ya Kisiki Hai Mkoa wa Dodoma; Uzinduzi huo umefanyika katika Ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa tarehe 19 Novemba, 2017....