Imewekwa: July 10th, 2018
'Kutokana na mabadiliko ya Mfuko wa Bima ya Afya ya Jamii (iCHF) ambapo Serikali imeamua huduma za Mfuko huu kutumika nchi nzima, kila kaya (Familia ya watu 6) italipa shilingi elfu thelathin...
Imewekwa: July 6th, 2018
Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa imepokea shilngi millioni mianne (TSh. 400,000,000/=) kwa ajili ya kujenga majengo matano pamoja na njia ya kumbelea katika Kituo cha Afya Ugogoni.
Kaimu Mkurugenzi ...
Imewekwa: June 28th, 2018
Serikali kupitia Wakala wa Vipimo Tanzania Bara, inaendelea kuwasisitiza Wakulima na Wafanyabiashara wa mazao kuepuka ufungashaji wa lumbesa na kutumia vipimo halali kutokana na madhara Mengi yatokana...