Imewekwa: January 6th, 2025
Wanafunzi 119 wenye mahitaji maalum waliopo katika kituo kilichopo Shule ya Msingi Mkoka wilayani Kongwa mkoani Dodoma wanakabiliwa na ukosefu wa vitimwendo.
Hayo yamesemwa na Bwana Furaha Mwashili...
Imewekwa: January 3rd, 2025
Wafugaji katika Kata ya Sejeli wilayani Kongwa wameiomba Serikali kuingilia kati suala la wizi wa mifugo unaoendelea katika Kata hiyo hali inayowapa hofu na kukatisha tamaa katika shughuli hiyo.
Wa...
Imewekwa: December 27th, 2024
Mashirika yasiyokuwa ya kiserikali yametakiwa kudumisha ushirikiano mzuri baina yao na Serikali kwa kuhakikisha yanakuwa na muamko katika kushiriki shughuli za Serikali Pamoja na kuishirikish...