Imewekwa: January 12th, 2025
Wanafunzi wa chuo kikuu cha St John's Dodoma wametembelea Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa na kufanya usafi wa mazingira Pamoja na kutoa msaada wa mashuka 50, sabuni, maji, na viburudisho kama biskuti ...
Imewekwa: January 6th, 2025
Wanafunzi 119 wenye mahitaji maalum waliopo katika kituo kilichopo Shule ya Msingi Mkoka wilayani Kongwa mkoani Dodoma wanakabiliwa na ukosefu wa vitimwendo.
Hayo yamesemwa na Bwana Furaha Mwashili...
Imewekwa: January 3rd, 2025
Wafugaji katika Kata ya Sejeli wilayani Kongwa wameiomba Serikali kuingilia kati suala la wizi wa mifugo unaoendelea katika Kata hiyo hali inayowapa hofu na kukatisha tamaa katika shughuli hiyo.
Wa...